Latest News

Gari ya kwanza kufungwa air condition

Chrysler imperial ndio gari ya kwanza kabisa kufungwa kiyoyozi mnamo mwaka 1953 chini ya packard car company.
Kampuni ya BISHOP BABCO CO ilianza kutengeneza ac 1933 nchini marekani.1960 gari 20% marekani zilikua zimefungwa ac,1968 ilikua 54%,mpaka sasa ni 99%ya gari zote zina ac duniani.
Unaweza pata picha bila ac ingekuaje dar maana watu wengi wanapendana sana kuweka tinted huku wakifurahia ac.
ilifikia mpaka magazine moja huko usa the magazine ilitoa taarifa kwa kusema inaonesha hewa asili imepoteza thamani kwa watu wengi kua waumini wa ac ambayo ni hewa ya kutengenezwa sio asilia.

No comments:

Post a Comment

5GEAR - TV SHOW | MAGAZINE | CAR EXHIBITIONS Designed by 5gear Copyright © 2014-2015

Theme images by Jason Morrow. Powered by Blogger.