Latest News

Gari aghali zaidi duniani

Lamborghini veneno roadster ndio gari iliotangazwa kua expensive duniani kwa kuuzwa $4.5milion.Hili gari hutengenezwa na kampuni ya lamborghini ilioko nchini Italia chini ya mbunifu FILIPO PERINI.
Mara ya kwanza ilizinduliwa katika maonesho ya Geneva Auto Show ambapo ilitolewa toleo hili kama kusherekea miaka yao 50katika uundaji wa magari.Na walizundua aina tatu tofauti tofauti ya rangi ambazo ni nyekundu,nyeupe na kijani ambapo iliwakilisha rangi ya bendera ya taifa la Italia.
Hizi veneno ni mchepuo wa lamborghini aventedor.Na baada ya matoleo hayo matatu walihaidi watatoa matoleo mengine 6 basi.
SPECIFICATION
Engine 750-hp,6.5 litre 12cylinder.0-62mph,2.9seconds

No comments:

Post a Comment

5GEAR - TV SHOW | MAGAZINE | CAR EXHIBITIONS Designed by 5gear Copyright © 2014-2015

Theme images by Jason Morrow. Powered by Blogger.