Umeinyaka hii!Takwimu afrika zinaonesha kati ya 100 watu 2 ndio wanamiliki gari.
Ilifanyiwa utafiti na kuonesha asilimia kubwa ya barabara za afrika ni mbovu,imekua ikichangia ajali nyingi na uharibifu wa magari.
Nchi iliotajwa kuongoza kwa barabara mbovu ni Malawi kutokana na barabara nyingi kutokua imara,ardhi dhaifu,miundo mbinu (unpaved)
Pamoja na hayo kumekua na ukuaji wa haraka na takwimu za 2014 itakua tofauti sana kwa sababu asilimia kubwa ya watu,makampuni wameingiza magari kwa wingi.
Kwa Tanzania mji wa Dar es salaam ndio unaoongoza kwa 70% ya magari na inakadiliwa tokea 2008 hadi 2013 yameingizwa magari madogo 226,806.
SOURCE:mtandao superbeefy october 2010.
BBC_Habanahaba
No comments:
Post a Comment