Latest News

FAMILIA NZIMA YA 5GEAR INAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015

Tunawatakia wote heri ya mwaka mpya, ukawe ni mwaka wa mafanikio zaidi katika kila jambo kama ni mwanafunzi basi grade zipande,kama mfanyakazi upande cheo na mshahara,kama mfanya biashara ufanikiwe na kuvuka mipaka halikazalika kwa wabunifu,wasanii,Watumishi na nchi yetu ikazidi kuwa na amani na utulivu.

No comments:

Post a Comment

5GEAR - TV SHOW | MAGAZINE | CAR EXHIBITIONS Designed by 5gear Copyright © 2014-2015

Theme images by Jason Morrow. Powered by Blogger.